Tafakari ya 167: Kumtamani Bwana kwa Kiwango cha Juu Kabisa
Unaposali, na unaposali kwa muda mrefu na kwa bidii, Bwana ataingia ndani yako. Atakuwa katika ushirika nawe na kuuunganisha Moyo Wake na wako. Utayaona matokeo haya kwa namna mbalimbali. Mojawapo ya matokeo ya kawaida ni kwamba kadiri unavyovutwa zaidi katika muungano na Kristo, ndivyo…