Tafakari 300: Kufunua Siri za Nafsi Yako
Kwa kweli, inafariji sana kuwa na mtu unayeweza kumfunulia yaliyo ndani kabisa ya nafsi yako. Mtu wa namna hii unayemwamini ni baraka kubwa anapokuhakikishia utunzaji kamili wa siri, huruma na uelewa. Kuzungumza hata kuhusu dhambi zako bila kusita…