Tafakari 328: Mbingu
Mbingu zinatualika katika maisha ya utukufu na utimilifu yanayozidi chochote tunachoweza kufahamu. Hata Mbinguni hatutafahamu kikamilifu fumbo tukufu la Mungu na Huruma Yake. Kutoka Mbinguni, watakatifu, waking’aa kwa utukufu na neema, wanatutazama huku chini kwa upendo…