Kiswahili

Tafakari ya 131: Kazi Kubwa ya Sadaka Ndogo

Je, ni bora kufanya kazi kubwa au kutoa sadaka ndogo?  Ni rahisi kuhitimisha kwamba kazi fulani kubwa inayofanywa kwa ajili ya Mungu ni bora zaidi kuliko sadaka yoyote ndogo.  Lakini je, ni hivyo kweli?  Yote hayo yanategemea Mapenzi ya Mungu.  Wakati mwingine tunajitwika “kazi kubwa” fulani kwa ajili ya Mungu, lakini, mwishowe, si sehemu ya mpango Wake.  Kazi…

Soma zaidi

Tafakari ya 130: Kuwarekebisha Wengine kwa Upendo

Karibu hakuna shaka kwamba kila mmoja wetu atakutana, mara kwa mara, na dhambi ya mtu mwingine.  Inaweza kuwa katika maneno yake, matendo yake au kuacha kufanya yale anayopaswa kufanya.  Dhambi huumiza na inahitaji marekebisho.  Mara nyingi sana, wengine wanapotukosea, tunaelekea kukasirika.  Lakini…

Soma zaidi

Tafakari ya 129: Usiwe na Hofu

“Usiwe na hofu; uwe tu na imani” (Marko 5:36).  Maneno haya manne, “Usiwe na hofu,” yanasemwa mara zisizohesabika katika Maandiko Matakatifu.  Tunapaswa kuyazingatia.  Hofu inaweza kutufanya tushindwe kutenda na kutuongoza katika namna nyingi za kufikiri na kutenda kwa upumbavu.  Mtu…

Soma zaidi

Tafakari 128: Utamu wa Kukutana na Yesu

Je, umewahi kuonja utamu wa Yesu?  Yeye, pamoja na Baba na Roho Mtakatifu, huja kwako katika vilindi vya siri vya nafsi yako.  Humo, katika mahali hapa pa siri, wanatamani kuwasiliana nawe.  Mawasiliano yao yanapita maneno na dhana.  Ni…

Soma zaidi

Tafakari 127: Kumpenda Mungu kwa Njia ya Utii

Unaitwa kumpenda Mungu kwa moyo wako wote, akili yako yote, roho yako yote na nguvu zako zote.  Lakini unafanyaje hivyo?  Kumpenda Mungu kwa vitendo kunadhihirikaje katika maisha yetu?  Hatimaye, tunampenda Mungu kwa njia ya utii mtakatifu.  Ni lazima tuyatii mapenzi Yake ya kimungu kuliko kitu kingine chochote.  Labda…

Soma zaidi

Tafakari 126: Hofu ya Kimwana – Hofu Njema

Je, una hofu maishani mwako?  Ni muhimu kujua kwamba hofu fulani haifai kabisa, kwani hutokana na aina fulani ya kiburi, ilhali aina nyingine ya hofu ni njema sana, kwani hutokana na upendo wako wa kina kwa Mungu.  “Hofu takatifu” ni hofu ya kimwana, yaani hofu ya mtoto wa Mungu.  Hofu hii…

Soma zaidi

Tafakari ya 125: Nafsi Inayojitoa Sadaka

Je, unajua kwamba Bwana wetu huwachagua watu fulani kwa ajili ya utume maalumu wa kuteseka?  Yeye huwachagua watu fulani, ambao ni wachache, ili wafanane Naye kwa ukamilifu zaidi katika mateso aliyoyapata hapa duniani bila kuwa na hatia.  Nafsi hizi takatifu huteseka kwa njia nyingi na mbalimbali.  Wao ni mwendelezo wa…

Soma zaidi

Tafakari ya 124: Huruma ya Sala ya Maombezi

Je, unataka kuona Huruma ya Mungu ikimiminika kwa wingi juu ya ulimwengu?  Tunatumaini na kudhani kwamba jibu la swali hilo ni “Ndiyo” isiyo na kusita.  Ni muhimu kujua kwamba, kwa namna fulani, unawajibika kwa kutokea au kutotokea kwa jambo hilo.  Hasa, Yesu…

Soma zaidi

Tafakari ya 123: Baraka ya Kudhalilishwa

Ni nani mwenye akili timamu angetaka kudhalilishwa?  Ungefanya nini kama ungedhalilishwa?  Watu wengi wangeshawishika kutafuta njia za kuepuka kudhalilishwa. Wengine wangeumia sana moyoni kutokana na hali hiyo.  Wengine wangekasirika na kuanza kujitetea.  Na ingawa…

Soma zaidi

Tafakari ya 122: Kama Ungeweza Kuchagua

Kama ungeweza kuchagua kati ya utajiri wote wa ulimwengu na uhusiano wa karibu na wenye upendo na Yesu, ungechagua nini? Usijibu haraka mno. Huenda tukajua kwamba kumchagua Yesu ndilo jibu sahihi, lakini je, ungemchagua? Fikiria mamlaka na “uhuru” wa kidunia ambao unge…

Soma zaidi