Tafakari 329: Kuungama kwa Furaha
Kwa nini unaogopa kuungama? Sakramenti hii tukufu unatolewa kutoka katika Moyo wenye huruma wa Bwana wetu. Kwa njia ya zawadi hii tukufu, Yesu anakuondolea mizigo unayobeba ili uweze kushiriki kikamilifu zaidi katika Huruma Yake. Kama ungeelewa hili…