Tafakari 242: Uzuri wa Kweli Unaong’aa kwa Namna ya Pekee
Imesemwa kwamba “uzuri” umo machoni pa mtazamaji. Kwa maneno mengine, wengine husema kwamba maana ya uzuri hutegemea mapendeleo binafsi ya mtu huyu au yule. Ingawa huenda kuna ukweli fulani katika kauli hii kwa mtazamo wa kijuujuu zaidi, katika kiwango cha…