Kiswahili

Tafakari 330: Kuwaombea Wengine

Usidharau nguvu ya sala zako.  Kadiri unavyozidi kutumainia Huruma ya Mungu, ndivyo sala zako zitakavyokuwa na nguvu zaidi kwa wale wanaozihitaji.  Bwana anajua mambo yote, naye anajua kila mtu anahitaji nini.  Lakini anataka kugawa neema Yake…

Tafakari 328: Mbingu

Mbingu zinatualika katika maisha ya utukufu na utimilifu yanayozidi chochote tunachoweza kufahamu.  Hata Mbinguni hatutafahamu kikamilifu fumbo tukufu la Mungu na Huruma Yake.  Kutoka Mbinguni, watakatifu, waking’aa kwa utukufu na neema, wanatutazama huku chini kwa upendo…

Tafakari 325: Kuwategemea Watakatifu

Fikiria nafsi iliyoishi maisha ya kujikabidhi kabisa kwa Mungu.  Ilifikia vilele vya utakatifu na haikukengeushwa na mambo ya kidunia.  Katika maisha yake yote ilijitahidi kumtumikia Bwana wetu na kuwa daima chombo cha Huruma kwa wengine.  Watu wengi…

Tafakari ya 321: Nafsi ya Kiserafi

Kila mtu ameitwa kuwa mtakatifu, na katika utakatifu huo anaweza kupata furaha kamili.  Lakini daima Mungu huwachagua baadhi ya watu kwa utume wa pekee wa utakatifu, yaani utakatifu wa kiwango cha juu zaidi.  Nafsi hizi zinaweza kuitwa “Nafsi za Kiserafi.”  Mfano uliozoeleka ni kulinganisha glasi mbili za maji.  Moja ni kubwa…

Tafakari ya 316: Mwali wa Upendo Unaowaka

Kuna taswira nyingi tunazotumia kuelezea Upendo wa Mungu.  Mojawapo ni “Mwali wa Upendo Unaowaka.”  Taswira hii inaonekana katika kitabu mashuhuri cha kiroho, “Mwali Hai wa Upendo,” kilichoandikwa na Mtakatifu Yohane wa Msalaba…

Tafakari 314: Huruma kama Ulinzi Imara

Jeshi linapozingirwa, hutafuta mahali ambapo linaweza kujilinda.  Mara moja hutafuta eneo lililoinuka au mahali panapolipa hifadhi na ulinzi.  Ndivyo inavyopaswa kuwa katika maisha yako ya kiroho.  Unapopigwa na mishale ya yule mwovu, au maisha yanapokuwa…

Tafakari 313: Usiku Bila Usingizi

Kuna watu ambao hupata usingizi kwa urahisi kila usiku na kuendelea kulala hadi asubuhi.  Wengine hupata shida kubwa ya kulala, na hali hii huwa mzigo mzito na sababu ya kuvunjika moyo.  Ikiwa wewe ni mmoja wa wale wanaopata shida ya kulala mara kwa mara, au hata mara chache tu, uone…

Tafakari 306: Mungu Hachoki

Je, unautilia shaka Upendo wa Mungu?  Ukweli ni kwamba Mungu hachoki kukutafuta.  Ingawa sehemu kubwa ya utakatifu wetu inatutegemea sisi, sehemu kubwa zaidi inamtegemea Mungu.  Tukiwa hapa duniani, Mungu haachi kamwe kututafuta na kutaka tuongoke.  Anakutumia Huruma Yake ili…

Tafakari ya 302: Akili Pana, Yenye Nguvu na Wepesi wa Kuelewa

Akili zetu ni zawadi kutoka kwa Mungu na ni mojawapo ya njia mbili kuu ambazo kwazo tumeumbwa kwa sura na mfano Wake.  Njia nyingine ni kupitia zawadi ya utashi wetu huru.  Lakini akili ni zawadi ya ajabu ambayo lazima itolewe kwa ajili ya kazi ya Mungu.  Ni vizuri kusali ili Bwana wetu…

Tafakari ya 301: Ushirika wa Watakatifu

Jambo moja linalopaswa kutuhamasisha kufanya kazi kwa bidii katika kueneza Huruma ya Mungu ni uhalisi wa Ushirika wa Watakatifu.  Kuuelewa ushirika huu wa milele kutatuwezesha kutambua kwamba yale tunayofanya sasa tutayafurahia milele Mbinguni.  Kwa mfano, ikiwa…