Tafakari 346: Vipaji vya Wengine
Tendo moja la huruma unaloweza kuwatendea wengine ni kutambua vipaji vya Mungu katika maisha yao na kufurahia jambo hilo. Kwa kusikitisha, mara nyingi kunaweza kuwa na kishawishi cha kuwaonea wengine wivu au husuda, hasa unapoona vipaji vyao vya asili au neema ya Mungu katika maisha yao. Lakini…