Tafakari ya 197: Nina Kiu
“Nina kiu.” Maneno haya mawili rahisi yana maana kubwa sana. Bwana wetu aliyatamka akiwa Msalabani. Askari mmoja alijaribu kumpa faraja kwa kumpa sifongo iliyoloweshwa katika siki ya divai ili kumkata kiu. Divai iliyogeuka siki ni ishara ya nafsi iliyogeuka…