Tafakari ya 30: Kumtii Mungu
Utii ni ufunguo mmoja wa utakatifu. Adamu na Hawa walipoteza neema kwa kutotii, nasi tunarudishiwa neema kwa kutii. Utii unaweza kuwa mgumu na unahitaji uamuzi wa dhati kutoka ndani ya moyo. Tafuta fursa za kumtii Yesu, hasa wakati wewe…