Tafakari 313: Usiku Bila Usingizi
Kuna watu ambao hupata usingizi kwa urahisi kila usiku na kuendelea kulala hadi asubuhi. Wengine hupata shida kubwa ya kulala, na hali hii huwa mzigo mzito na sababu ya kuvunjika moyo. Ikiwa wewe ni mmoja wa wale wanaopata shida ya kulala mara kwa mara, au hata mara chache tu, uone…