Tafakari ya 155: Kukabili Hukumu kwa Neema
Jambo moja lenye kuumiza unaloweza kukabili ni kuhukumiwa na mtu mwingine bila kufikiri kwa makini. Nyakati fulani, wengine watakutazama kwa kukuhukumu na kukudharau kwa sababu zilizo nje ya uwezo wako wa kuzidhibiti. Huenda watatambua kosa fulani dogo na kulikuza kiasi cha kulitumia kama…