Kiswahili

Tafakari ya 354: Kuufumua Utando wa Dhambi

Mtu anapoanza kusema uongo na kuufanya kuwa mazoea, hatimaye atanaswa katika utando wa uongo.  Uongo mmoja huzaa mwingine, na muda si mrefu hajui jinsi ya kujinasua katika utando huo.  Hapo ndipo unapopaswa kumwonyesha huruma.  Ni rahisi sana kumtendea kwa ukali…

Tafakari 346: Vipaji vya Wengine

Tendo moja la huruma unaloweza kuwatendea wengine ni kutambua vipaji vya Mungu katika maisha yao na kufurahia jambo hilo.  Kwa kusikitisha, mara nyingi kunaweza kuwa na kishawishi cha kuwaonea wengine wivu au husuda, hasa unapoona vipaji vyao vya asili au neema ya Mungu katika maisha yao.  Lakini…