Tafakari 356: Mapigo ya Moyo Wako
Unapokuwa na msisimko maishani mwako, moyo wako huanza kudunda kwa kasi zaidi. Hili ni jambo la kawaida katika mwili. Kwa sababu hiyo, ni vizuri kutafakari: je, moyo wako huwahi kudunda kwa ajili ya Mungu? Je, unajiruhusu kujawa na kicho kitakatifu mbele ya uwepo wa Mungu? Je…