Tafakari ya 71: Udogo Wetu na Hali Yetu ya Kutokuwa Kitu
Ni neema kutoka kwa Mungu kujiona jinsi tulivyo. Na tutaona nini tukijiona kwa namna hii? Tutaona unyonge wetu na hali yetu ya kutokuwa kitu. Mwanzoni, huenda jambo hili lisituvutie sana. Huenda hata likaonekana kuwa kinyume na hadhi tuliyo nayo katika Kristo. Lakini hapo ndipo ufunguo ulipo. Yetu…