Tafakari 156: Bwana Ndiye Kimbilio Letu
Kuna nyakati maishani ambapo hofu inakuingia. Huenda una jukumu gumu linalokukabili, au unatembea katika njia usiyoijua. Hali hizi, pamoja na mambo mengine mengi tunayopitia maishani, zinaweza kusababisha hofu na mahangaiko. Hofu ya mambo usiyoyajua inaweza…