Kiswahili
featured image DM

Tafakari 1: “Ile” Huruma ya Mungu

Tunapozungumza kuhusu Huruma ya Mungu, tunaitaja zawadi hii kutoka kwa Mungu kama “Ile Huruma ya Mungu.” Kwa kutafakari “Ile” Huruma ya Mungu, tunatambua zaidi mambo mawili:  Kwanza, Huruma ya Mungu ni halisi, bayana na yenye kudhihirika. Si wazo la kinadharia tu, bali ni uhalisi ambao tunapaswa…

Tafakari 348: Mungu Hutimiza Anayoyafunua

Inashangaza kuyatafakari mambo mawili ya hakika kwa pamoja.  Kwanza, tafakari jinsi Mtakatifu Faustina alivyomsikia Yesu akimwambia mara kwa mara kwamba alitaka Sikukuu ya Huruma ya Mungu itangazwe rasmi na kuadhimishwa katika Jumapili ya Pili ya Pasaka kila mwaka.  Je, mtawa huyu wa kike, mnyenyekevu aliyeishi maisha ya kujitenga monasterini, angewezaje kutimiza jukumu kama hilo…

Tafakari ya 332: Usiuchoke Kamwe Msalaba

Bwana anazungumza mengi kuhusu mateso na Mtakatifu Faustina.  Aliteseka sana kwa kudhalilishwa na kwa maradhi ya mwili.  Naye Yesu hakuchoka kamwe kumkumbusha kwamba mateso yake yanapata nguvu kubwa yanapounganishwa na Msalaba Wake.  Ujumbe huu lazima…