Tafakari 40: Kuingia ndani ya Moyo wa Bwana Wetu
Chembe ya vumbi au punje ya mchanga huwa haina umuhimu mkubwa katika hali nyingi. Hakuna anayetambua chembe moja au punje moja uani au hata sakafuni ndani ya nyumba. Lakini mojawapo ikiingia jichoni, punje au chembe hiyo hutambulika mara moja. Kwa nini? Kwa sababu…