Tafakari ya 50: Kuisikia Sauti ya Mungu
Ni kweli kwamba, siku yako yote, Mungu anazungumza nawe. Daima anakujulisha ukweli Wake na mwongozo Wake kwa maisha yako, na daima anakujalia Huruma Yake. Tatizo ni kwamba sauti Yake ni ya upole sana na ya utulivu. Kwa nini? Kwa sababu anataka umsikilize kwa moyo wako wote. Yeye…