Tafakari ya 115: Mapenzi ya Mungu Yatakuhifadhi Salama
Mapenzi ya Mungu ni zaidi sana ya mpango wa siku zijazo ambao Mungu amekuandalia. Ni zaidi ya matumaini na ndoto Zake kwa ajili yako. Mapenzi Yake ndiyo njia yako ya kuelekea utakatifu, nayo ni chemchemi ya faraja na furaha kuu. Mapenzi Yake yana namna ya kutenda na pia ya kutotenda (kuruhusu). Ni…