Kiswahili

Tafakari ya 205: Ngome ya Amani

Amani ya Bwana ni kama ngome ambamo tunapaswa kukimbilia ili kujikinga na mashambulizi yote ya nje yanayotoka kwa yule mwovu.  Nje ya ngome hii tunakuwa wazi kwa mashambulizi hayo yote yenye nia mbaya.  Mishale ya hasira, ukandamizaji, udanganyifu na wivu inaweza kutudhuru sana bila ulinzi mtakatifu…

Tafakari ya 68: Kufurahia Wema wa Wengine

Wengine wanapofanya vizuri, unaitikiaje?  Mara nyingi mtoto anapofanya vizuri, hilo huleta furaha moyoni mwako.  Lakini vipi kuhusu wengine?  Ishara ya hakika ya moyo wenye huruma ni uwezo wa kufurahia kwa dhati mema wanayofanya wengine.  Mara nyingi sana wivu na husuda huzuia namna hii…

Tafakari 346: Vipaji vya Wengine

Tendo moja la huruma unaloweza kuwatendea wengine ni kutambua vipaji vya Mungu katika maisha yao na kufurahia jambo hilo.  Kwa kusikitisha, mara nyingi kunaweza kuwa na kishawishi cha kuwaonea wengine wivu au husuda, hasa unapoona vipaji vyao vya asili au neema ya Mungu katika maisha yao.  Lakini…