Kiswahili

Tafakari ya 81: Uweza na Huruma

Wazia dikteta wa nchi mwenye mamlaka kamili, ambaye pia ni mtu mwenye hasira kali, nia mbaya na kisasi. Huyu si mtu ambaye ungetaka kumkasirisha. Sasa wazia hali iliyo kinyume kabisa. Wazia mtu mwenye mamlaka kamili ambaye pia amebarikiwa kuwa na moyo safi…

Tafakari ya 79: Mama Yetu Mbarikiwa wa Machungu

Mama Maria alivumilia mengi sana maishani.  Alivumilia kushukiwa na kudhihakiwa alipotunga mimba ya Mwokozi wake kwa muujiza.  Kwa upendo mkamilifu wa kimama, alishuhudia Mwanawe aliye Mungu akikataliwa na kutoeleweka.  Naye alisimama karibu Naye katika uchungu na kifo Chake.  Na katika…

Tafakari ya 17: Mgeukie Mama Yetu Mbarikiwa kwa Sala

Mgeukie Mama yetu Mbarikiwa kwa sala yenye matumaini thabiti.  Anakukumbatia karibu na Moyo wake Safi Kabisa na atakuongoza kwa Mwanawe, Yesu.  Yeye ni Mama mkamilifu, Mama wa Neema Zote.  Tumainia uangalizi wake wa kimama na maombezi yake.  Anajua jinsi ya kufanya neema zipatikane…

Tafakari ya 4: Umwilisho na Kuzaliwa

Mwana wa Mungu wa milele alipofanyika mwili katika tumbo la Bikira Maria Mbarikiwa, asili ya binadamu ilibadilika milele. Kwa kujiunga na ubinadamu, Mungu aliinua hadhi yetu…