Kiswahili

Tafakari ya 29: Nyakati za Faraja

Kwa wakati unaofaa kabisa, ikiwa tunamtafuta Mungu kwa moyo wote kila siku, tutapata wakati wa faraja. Huenda tukapata amani au furaha tusiyotarajia, tukahisi tumeangaziwa na kutiwa moyo, au tukahisi tu uwepo wa Mungu katika…

Tafakari 27: Majaribu Yanayogeuzwa Kuwa Fadhila

Nyakati fulani Mungu hutuwekea majaribu.  Anafanya hivyo kwa upendo ili kutuimarisha na kuzidisha upendo wetu Kwake.  Tazama jambo unalolipitia kama jaribu.  Muulize Mungu ikiwa jaribu hilo limetoka Kwake na ni mema gani anayotaka kuleta kutokana nalo.  Majaribu daima yanaweza…

Tafakari ya 18: Huruma Inayotolewa Kupitia Mapadri

Huruma hutolewa kwa njia nyingi. Kati ya njia nyingi za Huruma, itafute kupitia mapadri watakatifu wa Mungu. Mruhusu padri Wake akusikilize, azungumze nawe na akuongoze. Mapadri ni dhaifu na ni wenye dhambi. Lakini katika udhaifu wao wanapewa neema ya pekee ya kuongoza roho. …

Tafakari ya 8: Kuitafakari Rozari ya Huruma ya Mungu

Shajara ya Mtakatifu Faustina inatuita kwa namna mbalimbali kufuata aina mpya ya ibada.  Njia ya tatu ni kupitia Rozari ya Huruma ya Mungu.  Rozari hii ni zawadi yenye thamani kubwa. Ni zawadi ambayo tunapaswa kujitahidi kuisali kila siku…

featured image DM

Utangulizi – Siku 365 za Huruma ya Mungu zinaanza!

Ulimwengu tunamoishi leo ni ulimwengu ambamo ukatili, machafuko, kukata tamaa na upweke wa ndani vinazidi kuongezeka.  Ni ulimwengu ambamo watu wengi wameunganishwa kupitia njia za kisasa za mawasiliano, kama vile habari kuu za kila siku na mitandao ya kijamii.  Kutokana…

Tafakari 365: Malkia wa Huruma

Tafakari hii ya mwisho imewekwa wakfu kwa Malkia wa Huruma, Mama wa Mungu Mwenye Utukufu Mkuu Sana.  Yeye, kuliko mwingine yeyote, alikuwa na anaendelea kuwa chombo kamilifu cha Huruma ya Mungu.  Aliileta Huruma yenyewe katika ulimwengu huu kwa jibu lake la “Na iwe,” yaani “Ndiyo,” wakati wa Kupashwa Habari.  Yeye…

Tafakari 362: Mioyo Miwili ya Huruma

Moyo wa Yesu ni Huruma tupu.  Ni chemchemi ya neema inayomiminika juu ya ulimwengu.  Hili linafariji, lakini kuna moyo mwingine ambao pia lazima uwe chemchemi ya Huruma, nao ni wako.  Lazima uzame sana katika Huruma ya Bwana kiasi kwamba moyo wako…

Tafakari 361: Sadaka na Sala

Ingawa huenda ikawa vigumu kuelewa na kuamini jambo hili, sadaka ya ndani iliyounganishwa na sala safi huleta manufaa makubwa ajabu kwa utangazaji wa Injili ulimwenguni kote.  Kwa kweli, kama wamisionari wasingekuwa na nguvu za watu watakatifu waliotoa kila siku sadaka za ndani…

Tafakari ya 360: Vita vya Kiroho

Mjaribu, shetani, yupo kweli, lakini si wa kuogopwa.  Usimjali.  Usijishughulishe na mawazo yake.  Usijadiliane naye ili kufikia mapatano.  Unapokabiliwa na majaribu, unapaswa kuwa na ujasiri, kutumainia Huruma ya Mungu, na kuwa na matumaini.  Usiwe…

Tafakari 358: Zawadi ya Mungu Yenye Vipengele Viwili

Mara nyingi, tunapozungumza juu ya Huruma ya Mungu, tunazungumza juu ya msamaha wa dhambi.  Hili ndilo tendo la kwanza la Huruma ya Mungu.  Anaona kila dhambi, hata upungufu mdogo kabisa, na licha ya mateso ambayo dhambi hizi zinamsababishia Bwana Wetu, anajalia kwa wingi Huruma Yake ili kusamehe.  Msamaha…