Tafakari ya 354: Kuufumua Utando wa Dhambi
Mtu anapoanza kusema uongo na kuufanya kuwa mazoea, hatimaye atanaswa katika utando wa uongo. Uongo mmoja huzaa mwingine, na muda si mrefu hajui jinsi ya kujinasua katika utando huo. Hapo ndipo unapopaswa kumwonyesha huruma. Ni rahisi sana kumtendea kwa ukali…