Kiswahili
featured image DM

Utangulizi – Siku 365 za Huruma ya Mungu zinaanza!

Ulimwengu tunamoishi leo ni ulimwengu ambamo ukatili, machafuko, kukata tamaa na upweke wa ndani vinazidi kuongezeka.  Ni ulimwengu ambamo watu wengi wameunganishwa kupitia njia za kisasa za mawasiliano, kama vile habari kuu za kila siku na mitandao ya kijamii.  Kutokana…

Tafakari 365: Malkia wa Huruma

Tafakari hii ya mwisho imewekwa wakfu kwa Malkia wa Huruma, Mama wa Mungu Mwenye Utukufu Mkuu Sana.  Yeye, kuliko mwingine yeyote, alikuwa na anaendelea kuwa chombo kamilifu cha Huruma ya Mungu.  Aliileta Huruma yenyewe katika ulimwengu huu kwa jibu lake la “Na iwe,” yaani “Ndiyo,” wakati wa Kupashwa Habari.  Yeye…

Tafakari ya 364: Sala kwa Ajili ya Wanaokufa

Kuhusu wokovu wako wa milele, saa ya kifo chako ni muhimu sana.  Unaposali sala ya “Salamu Maria”, unasali hasa kwa ajili ya saa hiyo takatifu.  Ni saa takatifu.  Lakini pia ni saa ambayo yule mwovu atakushambulia kwa ukali mara nyingine ili kujaribu kuiba…

Tafakari 363: Kumsikia Mungu Akizungumza

Fikiria ungekuwa katika chumba kilichojaa watu na kelele nyingi, na mtu fulani akakunong’onezea kutoka upande wa pili wa chumba.  Huenda ungetambua kwamba anajaribu kuzungumza, lakini ingekuwa vigumu kumsikia.  Ndivyo ilivyo pia kwa Sauti ya Mungu.  Mungu anapozungumza, hunong’ona.  Anazungumza kwa upole…

Tafakari 362: Mioyo Miwili ya Huruma

Moyo wa Yesu ni Huruma tupu.  Ni chemchemi ya neema inayomiminika juu ya ulimwengu.  Hili linafariji, lakini kuna moyo mwingine ambao pia lazima uwe chemchemi ya Huruma, nao ni wako.  Lazima uzame sana katika Huruma ya Bwana kiasi kwamba moyo wako…

Tafakari 361: Sadaka na Sala

Ingawa huenda ikawa vigumu kuelewa na kuamini jambo hili, sadaka ya ndani iliyounganishwa na sala safi huleta manufaa makubwa ajabu kwa utangazaji wa Injili ulimwenguni kote.  Kwa kweli, kama wamisionari wasingekuwa na nguvu za watu watakatifu waliotoa kila siku sadaka za ndani…

Tafakari ya 360: Vita vya Kiroho

Mjaribu, shetani, yupo kweli, lakini si wa kuogopwa.  Usimjali.  Usijishughulishe na mawazo yake.  Usijadiliane naye ili kufikia mapatano.  Unapokabiliwa na majaribu, unapaswa kuwa na ujasiri, kutumainia Huruma ya Mungu, na kuwa na matumaini.  Usiwe…

Tafakari 359: Upendo wa Milele

Kwa Mungu hakuna wakati.  Wakati ni jambo la hapa duniani pekee.  Katika Mungu, vitu vyote vipo, vimekuwapo daima na vitakuwapo daima.  Athari mojawapo ya upendo huu wa milele ni kwamba Mungu amekupenda tangu milele.  Amekujua hata kabla ya kuwekwa kwa misingi ya ulimwengu na ataendelea kukujua…

Tafakari 358: Zawadi ya Mungu Yenye Vipengele Viwili

Mara nyingi, tunapozungumza juu ya Huruma ya Mungu, tunazungumza juu ya msamaha wa dhambi.  Hili ndilo tendo la kwanza la Huruma ya Mungu.  Anaona kila dhambi, hata upungufu mdogo kabisa, na licha ya mateso ambayo dhambi hizi zinamsababishia Bwana Wetu, anajalia kwa wingi Huruma Yake ili kusamehe.  Msamaha…

Tafakari 357: Misukumo ya Neema

Mtu anapokuwa na mahangaiko, huenda ukasita kumkaribia.  Ni rahisi kufikiri kwamba kuzungumza naye kutakugharimu muda na nguvu nyingi.  Lakini ikiwa Bwana ndiye anayeongoza mazungumzo yenu, anaweza kufanya mambo ya ajabu kwa muda mfupi.  Hakika, kuna…