Tafakari ya 102: Mungu Huwatumia Walio Dhaifu
Kama ungekuwa Mungu, na ungekuwa na kazi fulani tukufu ambayo ungetaka itimizwe, ungemchagua nani? Mtu mwenye vipawa vilivyo wazi? Au mtu aliye dhaifu, mnyenyekevu na anayeonekana kuwa na vipawa vichache sana vya asili? Jambo la kushangaza ni kwamba, mara nyingi Mungu huwachagua walio dhaifu kwa…
