Kiswahili

Tafakari ya 25: Mateso ya Ndani – Njia ya Kuelekea Huruma

Kadiri unavyozidi kukua katika uhusiano wako na Mungu, utakuwa na nyakati nyingi za mapambano na pia nyakati nyingi za faraja.  Usiogope nyakati za ukavu wa kiroho na mateso ya ndani.  Ni za lazima na ni sehemu ya njia ya Mungu ya kuleta utakatifu kwa…

Tafakari ya 24: Utakaso wa Nafsi Yako

Mateso makubwa zaidi tunayoweza kustahimili ni shauku ya kiroho ya kuwa na Mungu.  Walioko toharani wanateseka sana kwa sababu wanamtamani Mungu na bado hawajawa Naye kikamilifu.  Ni lazima tuingie katika utakaso huohuo hapa na sasa.  Ni lazima tujiruhusu kumtamani Mungu.  Sisi…

Tafakari 365: Malkia wa Huruma

Tafakari hii ya mwisho imewekwa wakfu kwa Malkia wa Huruma, Mama wa Mungu Mwenye Utukufu Mkuu Sana.  Yeye, kuliko mwingine yeyote, alikuwa na anaendelea kuwa chombo kamilifu cha Huruma ya Mungu.  Aliileta Huruma yenyewe katika ulimwengu huu kwa jibu lake la “Na iwe,” yaani “Ndiyo,” wakati wa Kupashwa Habari.  Yeye…

Tafakari 361: Sadaka na Sala

Ingawa huenda ikawa vigumu kuelewa na kuamini jambo hili, sadaka ya ndani iliyounganishwa na sala safi huleta manufaa makubwa ajabu kwa utangazaji wa Injili ulimwenguni kote.  Kwa kweli, kama wamisionari wasingekuwa na nguvu za watu watakatifu waliotoa kila siku sadaka za ndani…

Tafakari 358: Zawadi ya Mungu Yenye Vipengele Viwili

Mara nyingi, tunapozungumza juu ya Huruma ya Mungu, tunazungumza juu ya msamaha wa dhambi.  Hili ndilo tendo la kwanza la Huruma ya Mungu.  Anaona kila dhambi, hata upungufu mdogo kabisa, na licha ya mateso ambayo dhambi hizi zinamsababishia Bwana Wetu, anajalia kwa wingi Huruma Yake ili kusamehe.  Msamaha…

Tafakari 342: Burudisho la Mateso ya Kristo

Kwa kawaida hatuyaweki pamoja maneno “mateso” na “burudisho”. Je, Mateso ya Kristo yanawezaje kuburudisha? Kwa mtazamo wa kidunia, ni ya kutisha na ya kuhuzunisha tu. Bwana aliteseka sana, na Mama yetu mbarikiwa aliteseka pamoja Naye akiwa mwenye huzuni kuu…

Tafakari ya 332: Usiuchoke Kamwe Msalaba

Bwana anazungumza mengi kuhusu mateso na Mtakatifu Faustina.  Aliteseka sana kwa kudhalilishwa na kwa maradhi ya mwili.  Naye Yesu hakuchoka kamwe kumkumbusha kwamba mateso yake yanapata nguvu kubwa yanapounganishwa na Msalaba Wake.  Ujumbe huu lazima…