Kiswahili

Tafakari 357: Misukumo ya Neema

Mtu anapokuwa na mahangaiko, huenda ukasita kumkaribia.  Ni rahisi kufikiri kwamba kuzungumza naye kutakugharimu muda na nguvu nyingi.  Lakini ikiwa Bwana ndiye anayeongoza mazungumzo yenu, anaweza kufanya mambo ya ajabu kwa muda mfupi.  Hakika, kuna…

Tafakari 356: Mapigo ya Moyo Wako

Unapokuwa na msisimko maishani mwako, moyo wako huanza kudunda kwa kasi zaidi.  Hili ni jambo la kawaida katika mwili.  Kwa sababu hiyo, ni vizuri kutafakari: je, moyo wako huwahi kudunda kwa ajili ya Mungu?  Je, unajiruhusu kujawa na kicho kitakatifu mbele ya uwepo wa Mungu?  Je…

Tafakari ya 352: Adhabu na Hisia ya Hatia

Huenda isiwe jambo la kupendeza kutafakari adhabu ya Mungu.  Lakini lazima ieleweke kwamba adhabu Zake ni halisi na ni tendo la Huruma Yake tele.  Nafsi zinapomwacha Mungu na kuikataa Huruma Yake, jambo hili linaujeruhi sana Moyo Wake.  Kwa sababu hiyo, Mungu anakuwa…

Tafakari ya 350: Uzuri katika Kuabudu

Ulimwengu ni mzuri na unadhihirisha uzuri wa Mungu, lakini mambo ya kiroho, kama vile Ekaristi Takatifu, ni mazuri zaidi sana.  Ili kuuona uzuri wa Mungu, aliyepo katika Ekaristi Takatifu Sana, unahitaji macho ya imani.  Mojawapo ya njia bora zaidi za kuuwezesha mtazamo wako kuutambua uzuri huu kwa uwazi zaidi ni kuabudu.  Ingawa kupokea…

Tafakari 349: Kupoteza Amani ya Moyo Wako

Ni nini chenye uwezo wa kuondoa amani na utulivu wa moyo wako?  Je, ingekuwaje kama ungetukanwa, kudhihakiwa, kuhukumiwa kwa uongo, kufungwa gerezani, kupigwa au hata kuuawa?  Je, lolote kati ya haya lingeondoa amani ya Mungu moyoni mwako?  Ni ikiwa tu utaruhusu hilo.  Ni muhimu ujue na uamini…

Tafakari 345: Kuzama ndani ya Mungu

Je, huwahi kujizamisha ndani ya Mungu?  Kwa watu wengi, hili ni jambo linalotokea mara chache au ambalo hawajawahi kulipitia kabisa.  Kujizamisha au kuzama ndani ya Mungu kunamaanisha kuzama katika sala kwa kina kiasi kwamba unakuwa kana kwamba umepotelea katika uwepo Wake.  Hili linapotokea, Bwana anakutwaa kikamilifu…

Tafakari 342: Burudisho la Mateso ya Kristo

Kwa kawaida hatuyaweki pamoja maneno “mateso” na “burudisho”. Je, Mateso ya Kristo yanawezaje kuburudisha? Kwa mtazamo wa kidunia, ni ya kutisha na ya kuhuzunisha tu. Bwana aliteseka sana, na Mama yetu mbarikiwa aliteseka pamoja Naye akiwa mwenye huzuni kuu…

Tafakari ya 339: Nafsi Safi

Huenda usifikie hitimisho hili mara moja, lakini nafsi yenye upendo safi kwa Mungu huogopwa na wengi.  “Hofu” waliyo nayo ni hofu ya kuipinga nafsi kama hiyo.  Wale wenye nia ovu hawatathubutu kumshambulia mtu kama huyo kwa sababu wanajua kwamba huenda shambulio hilo likawaletea madhara wao wenyewe.  Haiwezekani…

Tafakari ya 336: Utajiri wa Dunia…au Mungu?

Inastaajabisha jinsi tunavyotamani mali za duniani mara kwa mara. Hata kama ungekuwa na hazina zote za dunia kwa ajili yako peke yako, hilo lisingeweza kutimiza shauku ya moyo wako. Kuna jambo moja tu linalojaza pengo lililo ndani yako, nalo ni Bwana na Mapenzi Yake matakatifu. Hakuna kingine…