Tafakari ya 292: Thamani ya Miito Maalumu
Baadhi ya watu wameitwa kuishi maisha ya pekee ya sala na upweke ndani ya maisha ya kitawa. Hasa, kuna walioitwa kuishi maisha ya uheremiti au ya klauzura. Watu hawa watakatifu wamejitenga na ulimwengu na hutumia siku zao katika sala ya kimya na kazi. Lakini…